August 9, 2014

HATARI !!! MADEE KAMPATA ALIEMWAGIA POMBE YAKE NI NDANI YA TAMASHA LA USIKU WA MATUMAINI 2014

Msanii wa Muziki wa Kizazi Kipya kutoka Kundi la Tip Top Connection, Ahmad Ally 'Madee' akiwapagawisha mashabiki waliofurika katika Uwanja wa Taifa jijini Dar kwenye Tamasha la Usiku wa Matumaini 2014.
Madee akisema na mashabiki wake.


Mashabiki baada ya kupagawa na shoo ya Madee.

No comments:

Post a Comment