August 25, 2014

FAHAMU UKWELI KUHUSU ULE UGOMVI MKUBWA WA THEA NA MONALISA ..THEA AFUNGUKA RASMI

”Mimi nikiwa mtu mzima na binadamu ambaye pia nimesimama katika imani yangu ya kikiristo nimefundishwa kusamehe, sitaki kurudia maneno ilikuaje ila nataka afahamu nampenda sana Monalisa kutoka moyoni mwangu na sina kitu kibaya juu yake tena. Mashabiki wangu wafahamu kukwaruzana ni sehemu ya maisha ingawa haiwezi kuwa kama mwanzo ila maisha lazima yaendee.”

No comments:

Post a Comment