August 12, 2014

ANGALIA KINACHOFANYIKA KWENYE CLUB ZA USIKU NI LAANA....PICHA ZAIDI YA 10 ZIPO HAPA

Mkesha kwaajili ya kusubiri sikukuu fulani ninavyoelewa mimi ni kwamba inatakiwa tukeshe tukiwa tunasali lakini hili liko tofauti kwa watu wa dunia hii wameigeuza mikesha hii kuwa usiku wa kufanya maovu hii inahuzunisha sana watu wanakunywa na kulewa bila kujali lililowaweka pale hebu angalia picha hizi ambazo mtandao huu umezipata kutokana na mkesha wa juzi tu hapa




No comments:

Post a Comment