Mshindi wa Big Brother Africa 2014, Idris Sultan aeleza jinsi
alivyozitumia milioni 500 za Big Brother baada ya watu kwenye mitandao
ya kijamii kudai amefilisika.
Akizungumza katika kipindi cha Friday Night Live cha East Africa
Television Ijumaa hii, Idris alisema pesa yote aliyoshinda imeishia
kwenye miradi mbalimbali.
“Pesa yote milioni 500 niliyoipata kwenye Big Brother Africa imeisha!!.
Imeisha kwa sababu ya investment, nimeinvest sana,” alisema Idris.
Mwishoni mwa mwaka jana, Idris alitangaza ujio wa vipindi vyake viwili
vya TV ambavyo vitarushwa kupitia vituo vya runinga vya Vuzu, Afrika
Kusini na BET Africa pia aliwahi kuweka wazi kuwa anamiliki kampuni ya
matangazo.
Jiunge na Bongo5.com sasa
March 21, 2016
Home
/
Unlabelled
/
Idris Aeleza Matumizi ya Milioni 500 za Big Brother Baada ya Kuambiwa Amefilisika
Idris Aeleza Matumizi ya Milioni 500 za Big Brother Baada ya Kuambiwa Amefilisika
Tags
About Unknown
Templatesyard is a blogger resources site is a provider of high quality blogger template with premium looking layout and robust design. The main mission of templatesyard is to provide the best quality blogger templates.
Related Posts:
Subscribe to:
Post Comments (Atom)

No comments:
Post a Comment