#Habari:Watu
10 wamenusurika kufa kwa kuungua moto baada ya nyumba yao iliyoko
katika kata ya Ndala halmashauri ya manispaa ya Shinyanga mjini kuungua
moto unaodhaniwa kusababishwa na shoti ya umeme leo majira ya saa tatu
asubuhi na kusababisha hasara ya vitu vya ndani vikiwemo Vitanda,Makochi
na Makabati ya nguo.
No comments:
Post a Comment