September 25, 2015

PIGO CCM WAZIRI WAKE AFARIKI DUNIA USIKU WA KUAMKIA LEO..PIA ALIKUWA MGOMBE UBUNGE JIMBO HILI..

Waziri wa Nchi,Ofisi ya Rais Menejimenti ya Utumishi wa Umma Mh.Celina Kombani amefariki dunia nchini India  alikokuwa akipatiwa matibabu


Taarifa tulizozipata usiku huu  zimesema  kuwa Waziri Kombani ambaye pia alikuwa mgombea ubunge jimbo la Ulanga Mashariki kupitia chama cha Mapinduzi, mwili wake utawasili nchini Jumamosi ya Septemba 26 mwaka huu

Mtandao huu unatoa pole kwa familia ya marehemu na taifa kwa ujumla kwa msiba huu.

No comments:

Post a Comment