September 23, 2015

Picha: Nick Minaj adai mama yake mzazi alikua hataki awe na MeekMill

Nick Minaj amedai wakati anaaza uhusiano na MeekMill mama yake mzazi alikua hamtaki kabisa Meekl licha ya ndugu zake wengine kukubali.
Nick&Meek5
Nick Minaj na MeekMill wamefanya exclusive Interview na jarida la GQ kwa ajili ya toleo jipya na moja ya mambo waliyozungumzia ni kuhusiana na Uhusiano wao kuanzia walivyoanza , Nick Minaj amefunguka kuwa alianza kumpenda MeekMill baada ya kuhukumiwa kwenda Jela.
Nick&Meek3
“Meek alikuwa akilini kwangu siku nzima, nilimuona akiaga watu twitter nikasema anahitaji mtu kama mimi muda huu , niliwasiliana na watuwake wa karibu nikawaambia wa mwambie namuombea sana,nikiwa nyumbana niliwaza sana anatoka lini” Amesema Nick.
Hizi ni baadhi ya Picha kutoka kwenye Jarida hilo

Nick&Meek1

Nick&Meek2

Nick&Meek4

No comments:

Post a Comment