September 8, 2015


Picha: Kingwendu Alivyotikisa Kisarawe 2
Picha: Kingwendu Alivyotikisa Kisarawe


Hizi ni baadhi ya picha za msanii wa filamu za vichekesho nchini, Rashid Mwinshehe ‘Kingwendu’ ambaye ni mgombea ubunge  jimbo la Kisarawe kupitia tiketi ya  chama cha wananchi CUF  alipokuwa akinadiwa na mgombea mwenza wa  urasi kupitia CHADEMA, Juma Duni Haji hivi karibuni.

No comments:

Post a Comment