Kuna mdada mmoja aliniambia kuwa aliwahi kutoka kimapenzi na wanaume
watatu kwa nyakati tofauti-tofauti. Mdada huyo ameniambia kuwa wanaume
warefu wanakera, kwani wanajiona sana na kujisikia, pia wana dharau na
hawapendi mazungumzo mengi kama watu wafupi walivyo.
Nimejaribu kuuliza kwa wa baadhi ya wadada wanasema kuwa wanaume warefu
ni wazuri nje ila tabia zao sio, wengi wanawaona watu walio wafupi kama
takataka. nimeona nililete kwenu Tujadili Kama Kuna Ukweli wowote wa
Jambo Hili.....
Je Kuna Ukweli ?
Je Kuna Ukweli ?

No comments:
Post a Comment