Marafiki wa iiH blog Naombeni ushauri....Mi naitwa nimeolewa na ninamtoto mmoja wa mwaka mmoja na ninafanya kazi ya kuuza mgahawa wangu binafsi..Tatizo langu mume wangu ananipiga jamani hadi nahisi ipo siku ataniuwa,bila sababu yeye anakunywa mimi sinywi pombe sasa nikirudi kazini nimechoka hivyo napika chakula tunakula napunzika na mwanangu akija tu anaanza fujo huko ndani mara mtoto ajala akashiba,hata ukichelewa tu kufungua mlango dakika moja akiingia anatoa mkanda anaipiga yaani ananipiga tu bila sababu sasa alinioa kwa ndoa ilikuja kunipiga najiuliza nitarudje nyumbani kwetu au nifanyaje kweli hii ni jana alivyonipiga hadi kanitoa nyama,kunazingine siwezi waonyesha ananiumiza kweli naombeni mnishauri nifanyaje hapa jaman ilia ukimuona huyo mwanaume mchana utasema malaika mi ndio najua nisaidien jamn sijui kapata msichana mwingine ndio maana ananifanyia hvi najuta hata kutunza usichana wangu na kumpa yey kisha kunifanya hivi jamani punda nafuu jamn
May 23, 2015
WADAU WA iiH ONA HUYU MWANAUME,ANAVYOMFANYIA MKE WAKE WA NDOA NI BALAA ......DUH!

About Unknown
Templatesyard is a blogger resources site is a provider of high quality blogger template with premium looking layout and robust design. The main mission of templatesyard is to provide the best quality blogger templates.
Related Posts:
NEWS
Labels:
NEWS
Subscribe to:
Post Comments (Atom)

No comments:
Post a Comment