May 26, 2015

Msanii anayefanya vizur Kutoka Tabora Ama the maker aja kivingine ni shidah ebu check hapa ujionee mwenyewe

Exlussive huyu hapa Msani
anayefanya vizur Kutoka Tabora
Ambaye Video yake Na Style yake Ya Afro-pop imefanya kuigwa Na wasanii wengine wakubwa
Muite Ama TheMaker Myamwezi chek video yake hapa
Ila kubwa zaidi ni  kuwa Tarehe
5 june ambayo ni Birthday yake  atakuwa anaachia
wimbo Mpya unaoitwa Bachelor
…kaaa tayari maana kitu kimepikwa kikapikikika..kutazama video yake bofya hapa chini

unaanzaje sasa kuacha kuitazama...







No comments:

Post a Comment