May 21, 2015

MAAJABU :MWANAUME ALIYEFUMANIWA NA WAPENZI 17 ASHIKILIWA NA POLISI


Mwanaume mmoja nchini China ambaye amefumaniwa na wapenzi wake wa kike 17 kwa pamoja amekamatwa na vyombo vya dola kwa kujipatia fedha kwa njia za udanganyifu.

Mwanaume huo kutoka mkoa wa Hunan, aligonga vichwa vya habari baada ya wanawake hao 17 kubaini kuwa wote wanatembea naye wakati walipoenda hospitali kumuangali.

Shitaka la tuhuma za kujipatia fedha kwa njia za udanyanyifu limefunguliwa dhidi yake kutokana kuchukua mara kwa mara fedha kutoka kwa wanawake hao aliokuwa anawalaghai. 

Rweyunga Blog 
kutazama video Bonyeza hapo chini..pameandikwa read more !!au alama hii >>>>> itakupeleka moja kwa moja kwenye video

No comments:

Post a Comment