Polisi wakiwa katika eneo la tukio
Mwanaume anayekadiriwa kuwa na umri wa miaka 60 amejitupa chini kutoka kwenye ghorofa ya pili mara baada ya kudai kuwa anafuatwa na polisi wa jiji la London.
Mwanaume huyo kabla ya kujirusha alitupa kiti nje kwa kupitia dirishani ili kuweza kupata upenyo mara alipopata upenyo ndipo alipanda dirishani na kujitupa kwenye lami.
Watoa huduma ya kwanza wakijaribu kukusanya nguo za mwanaume huyo
Shuhuda mmoja wa tukio hilo alisema kuwa alisikia mshindo mkubwa pamoja na mayowe na mara baada ya kuangalia chini aliona damu nyingi ikiwa imetapakaa kwenye eneo hilo.
Hata hivyo mwanaume huyo akupoteza maisha lakini yuko kwenye hali mbay
((((TAZAMA HII VIDEO MWANADADA ANAVYOKATA MAUNO#WIMBO WA SHAA..ONYO UWE PEKE YAKO))))

No comments:
Post a Comment