Mtoto wa msanii wa filamu na Mkurugenzi wa K. Entertainment, Kajala Masanja, Paula Paul ukipenda muite Paulitte. Sasa hivi anaoneka amekuwa binti mkubwa na mrembo zaidi….Mbali na kuwa mama yake ni staa mkubwa kwa upande wa Bongo Movie, baba yake , P. Funk aka Majani pia ni mtayarishaji wa music mkongwe na mwenye mafanikia makubwa kwenye upande wa Bongo Flava. Paula japokuwa bado yupo shule lakini maisha yake ya kuwa karibu sana na mama yake kwa ujumla yanamfanya ajuane na ajulikane sio tu mastaa wengi bali hadi kwa jamii kwa ujumla…..Tunaamini huyu nae atakuwa staa wa kesho …
December 7, 2014
Home
/
Unlabelled
/
MTOTO WA KAJALA...PAULA AMWAGA SXY PHOTO MTANDAONI LEO CHEKI HAPA PICHA ZAKE NI HATARI

Tags
About Unknown
Templatesyard is a blogger resources site is a provider of high quality blogger template with premium looking layout and robust design. The main mission of templatesyard is to provide the best quality blogger templates.
Related Posts:
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
No comments:
Post a Comment