Warembo wengi wa mjini wamekuwa wakishindana ni nani ambaye ana umbo zuri zaidi hushindana zaidi ni nani ana hips na mpododo mkubwa kibongobongo Agness Masogange amebamba na kushika chati
Kumbe wapo ambao wanamzidi Agness na wengine wanaojiona wapo vizuri kimaumbo sema ugumu wa maisha hufanya mtu asijulikane hasa siku hizi watu wanajionyesha kupitia mitandao ya kijamii huyu yeye yupo kijijini na umbo lake matata kama hili kamzidi mpododo Masogange anatoka vijiji vya ndani huko mbeya
No comments:
Post a Comment