December 3, 2014

MASTAA WAKIMBILIA KANISANI KUJISLIMISHA KWA MUNGU CHEKI HAPA FULL STORI



Chanzo makini kilicho ndani ya kanisa hilo kilisema kwamba wasanii wengi wamevutiwa na huduma hiyo ambayo maombi yake hufanyika kila Jumanne na Jumatano na huongozwa na mchungaji mkuu, Buldoza Mwamposa.
Hosti wa kipindi cha 'Wanawake Live' cha chaneli Five, Joyce Kiria
 Baadhi ya wanaotajwa kuonekana kanisani hapo ni pamoja na Dotnata, Thea, Mainda, Mc Pilipili, Joyce Kiria na Dokii. Msemaji wa mchungaji Mwamposa aliyejitambulisha kwa jina la Leonard Mwazembe alikiri nyota hao kupata maombi kanisani kwake.

No comments:

Post a Comment