December 5, 2014

JOKATE KIDOTI: NASIKIA RAHA KUKAA UTUPU NIKIWA CHUMBANI


Modo ambaye pia anafanya muziki na ujasiriamali, Jokate Mwegelo amefunguka  kuwa, awapo chumbani na mpenzi wake huwa anasikia raha kutovaa chochote
Akizungumzia maisha yake ya kimapenzi, Jokate alisema haoni aibu kusema akiwa faragha na mpenzi wake hapendelei kuvaa kitu kwani ni eneo la kujiachia.“Kwa kweli nikiwa chumbani na mpenzi wangu sipendi kuvaa kitu kabisa,” alisema Jokate kwa kifupi.
Picha za Jokate za chumbani hizi hapa kutazama picha za jokate za chumbani bofya hapa

No comments:

Post a Comment