Mirror ni msanii ambae yuko chini ya usimamizi wa kampuni ya Endless Fame mwigizaji Wema Sepetu na inaonekana right now Wema amerudisha nguvu zake zote kwenye biashara zake ambazo ni pamoja na hii ya kusimamia vipaji vipya vya bongofleva.
Usiku wa November 30 2014 New maisha club Dar es salaam Mirror alifanya show yake ya ‘Mirror’s road to success iliyoendeshwa na Petit Man na Mtangazaji B12 ikiwa ni siku chache tu toka Mirror aachie single yake mpya ya ‘how do I do‘
Wema Sepetu alisindikizwa na marafiki zake kwenye hii event ambao ni Aunt Ezekiel, Penny ambae ni wiki chache toka wapatanishwe pamoja na mwigizaji Lulu.
No comments:
Post a Comment