December 3, 2014

AIBU...STAA MWINGINE AMAWAGA PICHA ZAKE ZA CHUMBANI MTANDAONI LEO


WHY? Wauza nyago wanaotumika katika video mbalimbali za wasanii wa Bongo Fleva (video queens) wametia fora kwa kurekodiwa mikanda ya utupu na kusambaa kwenye mitandao ya kijamii na simu za kupangusa, Risasi Jumamosi lina ripoti kamili.
Ukiachana na Agness Gerald ‘Masogange’, Jacqueline Fitzpatrick Cliff ‘Jack Patrick’, Rehema Fabian, Husna Maulid ambao walisharipotiwa huko nyuma, mrembo maarufu kwa jina moja la Lulu ambaye ameuza sura kwenye ‘kioo’ cha Ngoma ya  Shitobe ya msanii anayefahamika kwa jina la Y-Tony, naye ameingia katika skendo hiyo.
Uchunguzi wa gazeti hili ulibaini kwamba, asilimia kubwa ya warembo hao hurekodiwa na wapenzi wao wanapokuwa faragha kunako sita kwa sita na pale wanapogombana ndipo wanaume hao huzitupia video hizo mitandaoni ili kuwakomoa na kuthibitisha kuwa tayari amempitia hivyo ni ‘makapi’.
Kupitia Mtandao wa Youtube, mrembo huyo anaonekana kwenye video akicheza muziki wa Bendi ya Yamoto, akiwa mtupu huku ikisikika sauti ya mwanaume ikimsihi aendelee kucheza kwa ahadi kuwa video hiyo ni maalum kwa ajili yake na si mtu mwingine.
Lulu mwenyewe huyu hapa.
“Hii ni special for me, not for anyone,” alisikika mwanaume huyo.
Video hiyo ambayo ilisambaa haraka mwanzoni mwa wiki hii na kuwa gumzo katika mitandao mbalimbali, wafuasi wengi walikuwa wakikemea tabia hiyo ya kurekodiwa wakiwa utupu.
“Hawa wanajitakia wenyewe, haiwezekani uwe na mpenzi halafu umuamini eti akurekodi kwa ajili yake tu, ni ujinga tu unawasumbua.

Kwanza unaruhusu kurekodiwa ili iweje?,” alihoji mdau mmoja mtandaoni.
Baada ya kuitia kibindoni video hiyo, gazeti hili lilimsaka Lulu wa Video ya Shitobe (siyo Elizabeth Michael) kupitia rafiki zake lakini jitihada ziligonga mwamba kwani ilidaiwa kwamba, kutokana na aibu aliyoipata, aliamua kujificha huku akizima simu sambamba na kufuta picha zote kwenye akaunti yake ya Instagram.

Lulu akipozi.
Licha ya kuzifuta, mwanahabari wetu alibahatika kumpata kupitia Facebook ambapo anatumia jina la Lulu Mrs Comoro ambako ametupia picha zake lakini akashindwa kutoa ushirikiano.
Mtiririko wa warembo hao kurekodiwa video za ngono ulianza kwa Rehema ambaye alionekana kwenye video ya msanii wa Bongo Fleva aitwaye Pasha.

Baadaye Agness ambaye alishiriki kwenye video ya Wimbo wa Masogange wa Belle 9 akafuata Jack Patrick ambaye ameshiriki kwenye video ya Chungwa ya msanii Sumalee na Nataka Kulewa ya Diamond akafunga dimba kabla Lulu hajaongeza idadi hiyo.
TAZAMA PICHA HIZO HAPO CHINI>>>>

No comments:

Post a Comment