November 1, 2014

RECHO KIUNO STAA WA KIZUNGUZUNGU ...AFANYA KUFURU UDOM KWENYE BONANZA PICHA 4O HAPA






Benki ya NMB leo imevunja historia ya miaka ya nyuma kwenye bonanza lilifanyika jana kwenye viwanja vya Education ambapo kulikuwa na mashindano ya Mpira wa miguu kwa kina dada na pia mpira wa mguu kwa wavulana kama kawaida,Bonanza lililohudhuriwa na wanafunzi zaidi ya elfu 8 waliomiminika katika viwanja hivyo, Na pia baada ya mtanange huo kulikuwa na burudani ya wasanii mbali mbali akiwemo Recho ambao walifanya poa sana kwenye jukwaa hilo:





































CRDT K.Y

No comments:

Post a Comment