November 26, 2014

LAANA!!! WANAFUNZI 100 WA SHULE YA MSINGI WAELEZA WALIVYOLAWITIWA DAR


Zaidi ya wanafunzi 100 wa Shule ya Msingi Hananasif na Mkunguni za Wilayani Kinondoni,Dar es salaam wanadaiwa kulawitiwa na wanaume kwa nyakati tofauti.

Taarifa zilieleza kuwa  wanafunzi hao wa darasa la kwanza hadi la nne wanaosoma madarasa tofauti wanafanyiwa vitendo hivyo nje ya shule na maeneo wanayotoka.

Kutokana na taarifa baadhi ya wazazi na hata taasisi za Serikali  na uongozi wa shule ya Hananasifulilazimika kuitisha vikao vya dharura kujadili suala hilo.

Chanzo cha kuaminika kutoka ,shuleni hapo kilidai mwalimu mkuu hiyo aliwaita wanafunzi kadhaa na kuwahoji na baadhi yao walikiri na kuw ataja wnaaume wanaowafanyia vitendo hivyo na mahali wanapofanyia.

Baadhi ya wanafunzi hao walisema aliwahi kufanyiwa kitendo hicho  nyumbani kwao na alishahojiwa na mwalimu wake mkuu na kumweleza ukweli huku mwanafunzi mwingine wa kiume wa darasa la pili alidai huwa anafanyiwa na kijana mmoja ambaye humpa vitumbua.


“Mimi nilifanyiwa muda kidogo, nimesahau siku,wakati narudi nyumbani nilikutana na mtu kichochoroni akanifanyia hivyo lakini nilimwambia mama na akanimabia nikatoe taarifa kituo cha polisi

No comments:

Post a Comment