October 25, 2014

BREAKING NEWS Lucy Nkya (Naibu Waziri wa zamani) arushiana risasi na mwanae


Mwenyekiti wa umoja wa vijana wa ccm mkoa wa Morogoro bw. Jonas Nkya
Dk. Lucy Nkya

Naibu Waziri wa zamani wa Afya na mbunge wa Morogoro Kusini Mashariki, Lucy Nkya, amerushiana risasi za moto na mwanae wa kumzaa, Jonas Nkya ndani ya ofisi zao mkoani Morogoro muda huu.

Chanzo kinadaiwa kuwa ni "Mzozo wa Kifamilia"

CREDT JF

No comments:

Post a Comment