October 29, 2014

BREAKING NEWS!! AJALI MBAYA ARUSHA ENEO LA USA WATU TISA WAFARIKI DUNIA MUDA HUU....















Watu 9 wamekufa na wengine 2 wamejeruhiwa baada ya basi dogo la abiria Toyota Hiace kugongana uso kwa uso na lori mafuta katika eneo la Usa River, Arusha  na Team Info Arusha


TAZAMA PICHA ZAIDI ZA TUKIO KWA KUBOFYA HAPA...PICHA ZAIDI ZA TUKIO ZIPO HAPA

No comments:

Post a Comment